Divertissement

#LIVE :SPORT ARENA NDANI YA WASAFI FM 88.9

#LIVE :SPORT ARENA NDANI YA WASAFI FM 88.9

Commentaires 

 1. Ally Ndambwe

  Ally Ndambwe

  Il y a mois

  manara mmoja tu duniani

 2. sam nabor liwemba

  sam nabor liwemba

  Il y a mois

  Maneno mengi vitendo hakuna, mpira hauchezwi mdomoni.

 3. Rachel Bujuli

  Rachel Bujuli

  Il y a mois

  Hahahahaha mnasubiri Yanga iwatafutie uwiii

 4. Saka gana tv

  Saka gana tv

  Il y a mois

  Very

 5. Emmanuely Ndondole

  Emmanuely Ndondole

  Il y a mois

  Tena unabahati dishi ww yanga sio kama unavokadiria

 6. Emmanuely Ndondole

  Emmanuely Ndondole

  Il y a mois

  Haaaaaaaaaaaaaaaa haaaa ongeza sauti mzungu coco leo upo wap

 7. Emmanuely Ndondole

  Emmanuely Ndondole

  Il y a mois

  Unakaz gan manala mjini

 8. Faustine Bukongolo

  Faustine Bukongolo

  Il y a mois

  Ama kweli mtu mwenye hakili anaonekana mcheki Eno anavyomumgalia huyo mlopokaji

 9. Amina Mwangile

  Amina Mwangile

  Il y a mois

  Manara juuuuuuuu daima

 10. Erick Mziray

  Erick Mziray

  Il y a mois

  Anaota huyu aiseee

 11. MSEMAKWELI MDHALENDO

  MSEMAKWELI MDHALENDO

  Il y a mois

  Haaaàaaa haaaaa chadomooo leo yak wap weka akba maneno.

 12. Boniface Matoke

  Boniface Matoke

  Il y a mois

  Sisi Simba Kuanzia kilomita 400 Tunapanda Ladies & Gentlemen chini ya hapo Tunapanda Basi

 13. Abuu Hafsah

  Abuu Hafsah

  Il y a mois

  Hapo umeonuesha bado condacta

 14. Abuu Hafsah

  Abuu Hafsah

  Il y a mois

  Ila hapo haji kwenye kunywa maji kwa kutumia mdomo Wa chupa direct huo sio ustaarabu na utamaduni Wa kwenye midia ....ungetumia glas

 15. Emmanuel Robert

  Emmanuel Robert

  Il y a mois

  Na Ud Songo nayo viipi

 16. Khalid Cadabra

  Khalid Cadabra

  Il y a mois

  Haji kiboko anacheza mpaka matangazo kweli juma mosi ushindi upo

 17. Lukaku Rais

  Lukaku Rais

  Il y a mois

  Simba Baba Lao

 18. Lukaku Rais

  Lukaku Rais

  Il y a mois

  Simba Baba Lao

 19. Fadhili Asimesye

  Fadhili Asimesye

  Il y a mois

  Ahahahaa eti polisi waseme hajapata nini

 20. Luxford Mmasa Mmasa

  Luxford Mmasa Mmasa

  Il y a mois

  Huyu mwendesha kipindi nani mbona sauti ya maestro

  • Abuu Hafsah

   Abuu Hafsah

   Il y a mois

   Ahmed Abdallah ..yule alikuaga azam..kwa sasa amenunuliwa na wcb ..

 21. venando balaghana

  venando balaghana

  Il y a mois

  Haji talented Mr.

 22. Shoaib khan

  Shoaib khan

  Il y a mois

  Hivi washamba Mtwara wanakuchkulia poa2, ttx we got everything! And yes I mean everything.

 23. Albert Jidahabi

  Albert Jidahabi

  Il y a mois

  Simba baba lao..gari limewaka so nduza fc jipangeni

 24. Nzwila makonda

  Nzwila makonda

  Il y a mois

  Manara bhana yuko vzr hata wakiungana 100 yeye n mmoja tu hawamuwez;;;;

 25. gusa unase Sospiter

  gusa unase Sospiter

  Il y a mois

  Manara baba raooo Simba chama retu MO kipenz wetu

 26. Frank Mwafifi

  Frank Mwafifi

  Il y a mois

  Sina wasi wasi na timu yangu ya Simba point 3 muhimu

 27. Roberson Robert

  Roberson Robert

  Il y a mois

  Ivi manara anaelimu gan jamani

  • Roberson Robert

   Roberson Robert

   Il y a mois

   Maana huyo jamaa anavyo watesa yanga duuu!!!

  • Abuu Hafsah

   Abuu Hafsah

   Il y a mois

   Elimu ya saikolojia

 28. Roberson Robert

  Roberson Robert

  Il y a mois

  Nasema hivi zile gonga zipigwe mchaka mchaka kwelikweli

 29. Robert Tagaya

  Robert Tagaya

  Il y a mois

  Tatizo lililopo hapa bongo kwa baadhi ya watangazaji wa hizi redio ni watangazaji kuigana sauti. Hususani mtangazaji kama huyu ukimsikiliza sauti yake unaona moja kwa moja kabisa anamuiga mtangazaji mwingine Maestro aliyepo Efm kwa sasa. Hivyo inakuwa vigumu kuwa towafutisha sauti zao.

 30. KAIZA MGAWA

  KAIZA MGAWA

  Il y a mois

  Saf Sana kipind bomba

  • Salima Msoma

   Salima Msoma

   Il y a mois

   saf san haji manara nimekupend buree kwa kwl

 31. Mtumwa haruna Ally

  Mtumwa haruna Ally

  Il y a mois

  Umeisikia Manyenza ya manara

 32. SupernidaTv

  SupernidaTv

  Il y a mois

  Naanzaje wakosa ninyi

 33. Najma omari

  Najma omari

  Il y a mois

  Naomba m.mungu atuajalie kila mech

 34. babylone charles

  babylone charles

  Il y a mois

  Kwa simba hiiii mmmmh....yanga kama ajafa 3 kwenda juuu cjui😂😂😂😂😂

 35. B Town Music Records

  B Town Music Records

  Il y a mois

  Jamani wadau naombeni msaada wa namba za kupiga simu ktkkipindi cha sports arena cha wasaf fm na za sms pia plz wapendwa help me

 36. Renatus Masunga

  Renatus Masunga

  Il y a mois

  Manara umenikumbusha mbali nikiwa primary.uko sawa

 37. Renatus Masunga

  Renatus Masunga

  Il y a mois

  Msemaji wa nchi uko sawa.

 38. LIKWEGA SALUM

  LIKWEGA SALUM

  Il y a mois

  Dahhhhhhh kweli manara jua Kali kiboko ya nguo mbichi

 39. mamba dumejr

  mamba dumejr

  Il y a mois

  Simba baba lao piga kelele na Like hapa

 40. John Makweta

  John Makweta

  Il y a mois

  Naitwa makweta John toka mtwara wasafi FM nawapata vizuriiiii

  • James Imanuel

   James Imanuel

   Il y a mois

   Kwan umeambiwa utaje majina humu?

 41. Sangoma Mourice

  Sangoma Mourice

  Il y a mois

  Manara anahutubia taifa

 42. Andrew Japheti

  Andrew Japheti

  Il y a mois

  Daah,,manara umeua

 43. Swaleh Ayoub

  Swaleh Ayoub

  Il y a mois

  Iachieni tupate kudownload sio mnatubania!

  • John Mwita

   John Mwita

   Il y a mois

   Kama unataka kudownload tumia vedeoder

 44. lamar

  lamar

  Il y a mois

  Hahahahhahahaha manara sasa daaah

 45. Shakii Mbegu

  Shakii Mbegu

  Il y a mois

  Wasafiii tangazen darby hiyoo

 46. Shiki Kitabunda

  Shiki Kitabunda

  Il y a mois

  😂😂 manara ulivomshika Mwanaidi kimahaba

 47. Batholomeo Wella

  Batholomeo Wella

  Il y a mois

  Namwona Afisa Habari wa Mabingwa wa Tanzania akijimwaga kwa madaha na kujiamini sana ndani ya Wasafi FM

 48. Ally K

  Ally K

  Il y a mois

  This is simbaaa

 49. Phinias Hatali

  Phinias Hatali

  Il y a mois

  Msemaji wa taifa

 50. Temba Ritorn

  Temba Ritorn

  Il y a mois

  Msemaji wa mabingwa wa nch.

 51. Samwel Mungeleza

  Samwel Mungeleza

  Il y a mois

  Kipindi bora kbs

  • Dany Dany

   Dany Dany

   Il y a mois

   Huyu Jamaa nishidaaaaa

  • Baraka Musso

   Baraka Musso

   Il y a mois

   a.k.a gongo wazi ha ha ha

Prochain